goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
Naomba wenye ufahamu wanisaidie kujua karakana mzuri kwa gari hizi Nissan xtreil, moja yangu ilisumbua kitu anaitwa slinder herd gasket, hivyo haijatulia ni kama inavujavuja oil. Nataka nipate karakana bora wakanirekebishie tatizo.
Nakusudia Dar tu.
Nakusudia Dar tu.