goukun wadey JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 241 Reaction score 284 Apr 7, 2021 #1 Naomba wenye ufahamu wanisaidie kujua karakana mzuri kwa gari hizi Nissan xtreil, moja yangu ilisumbua kitu anaitwa slinder herd gasket, hivyo haijatulia ni kama inavujavuja oil. Nataka nipate karakana bora wakanirekebishie tatizo. Nakusudia Dar tu.
Naomba wenye ufahamu wanisaidie kujua karakana mzuri kwa gari hizi Nissan xtreil, moja yangu ilisumbua kitu anaitwa slinder herd gasket, hivyo haijatulia ni kama inavujavuja oil. Nataka nipate karakana bora wakanirekebishie tatizo. Nakusudia Dar tu.
franktemu123 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 1,406 Reaction score 1,475 Sep 6, 2021 #2 Tafuta Total petrol station nenda section ya Garage
Mjuzi Wenu Senior Member Joined Nov 18, 2017 Posts 108 Reaction score 108 Sep 6, 2021 #3 Karibu THE GENERAL Workshop kwa huduma bora zaidi kwa wahandisi walio bobea katika magari tupo ubungo Mawasiliano 0692235221
Karibu THE GENERAL Workshop kwa huduma bora zaidi kwa wahandisi walio bobea katika magari tupo ubungo Mawasiliano 0692235221
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Sep 6, 2021 #4 Hivi hapo ulimaanisha Cylinder head gasket au nimesoma vibaya?!
Mapank JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 4,130 Reaction score 6,097 Sep 6, 2021 #5 Muone jerry's spare parts and garage
franktemu123 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 1,406 Reaction score 1,475 Sep 6, 2021 #6 Mapank said: Muone jerry's spare parts and garage Click to expand... Jamaa ana Bei balaa
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Sep 6, 2021 #7 Mjuzi Wenu said: Karibu THE GENERAL Workshop kwa huduma bora zaidi kwa wahandisi walio bobea katika magari tupo ubungo Mawasiliano 0692235221 Click to expand... Tutajuaje kuwa wewe siyo fundi Maiko?
Mjuzi Wenu said: Karibu THE GENERAL Workshop kwa huduma bora zaidi kwa wahandisi walio bobea katika magari tupo ubungo Mawasiliano 0692235221 Click to expand... Tutajuaje kuwa wewe siyo fundi Maiko?