Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge

Kama ni kweli... itakuwa ajabu sana kama Nazir atapambana na Serikali alafu akashinda ila kwa serikali za Africa yote yanawezekana.
Kule kwetu China [emoji630] sasa hivi ingekuwa historia.
 
Utakuta kilichofanyika ni kuwanyang'anya kina Karamagi na kuwapa kina GSM ambao ndio msoga line πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Tegemeeni kupigwa wharfage na storage fees kama kazi hivi. Maumivu yatakuwa XXL hadi hao TICTS mtawakumbuka.
Wapishe wenzao nao wafanye kazi pengine angalau katika hatua hii ya awali wataboresha baadhi ya mambo.

Kila siku malawama tu kwa bandari na huku inaingiza mamilioni ya shilingi kwa siku.
 
Silent Ocean wapewe mkataba, maana fisi ni fisi tu hata kama ana rangi ya njano!

Kumbe wahariri na wabunge ndio huwa madodoki ya kutakasisha ya uozo wa nchi hii!
Tembo tutaenda kuona mifupa yao makumbusho. Wataisha nchini
 
Silent Ocean wapewe mkataba, maana fisi ni fisi tu hata kama ana rangi ya njano!

Kumbe wahariri na wabunge ndio huwa madodoki ya kutakasisha ya uozo wa nchi hii!
Hana vifaa
 
Utakuta kilichofanyika ni kuwanyang'anya kina Karamagi na kuwapa kina GSM ambao ndio msoga line [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Tegemeeni kupigwa wharfage na storage fees kama kazi hivi. Maumivu yatakuwa XXL hadi hao TICTS mtawakumbuka.
GSM haja bid
Bidders ni D World na Adan
 
Naona nae Karamagi kala shavu NEC,hapo tunapigwa ndoige ukija kushtuka shehe ni yule yule ktk kanzu mpya.
 
Kuna mijitu ina tamaaaa sana sasa ww umesha fanya kazi miaka 20 na pesa za kutosha umevuna bado unatamaaa tu uendeleee ww kupata wengine na sisi tutapata wapi.Wapishe na wengine wapate mkate
 
Wazee miaka 22 walikaa pale nahisi walishajua hadi wanakufa bila kutoka mama kaja kapita na kichwa asubuhi mapema
Yuko sahihi Mama kuipiga chini TICTS
Ukipewa chakula usimsahau kumpa chakula aliyekupa chakula iwe serikali iliyoko madarakani nk ukajifanya mjanja

TICTS nadhani hawakuliona hilo !!!!! Ujuaji mwingi!!!! Baada ya kuona wanapiga pesa wakaleta ujanja wa kihaya na mwenzao yuleleeeee

Kuna maisha baada ya mkataba wowote ujanja ujanja na utapeli haulipi
 
Utakuta kilichofanyika ni kuwanyang'anya kina Karamagi na kuwapa kina GSM ambao ndio msoga line πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Tegemeeni kupigwa wharfage na storage fees kama kazi hivi. Maumivu yatakuwa XXL hadi hao TICTS mtawakumbuka.
Hisia zako zinafanana na ukweli lakini zinabakia kuwa hisia. Huu ni mchakato ulianzishwa na serikali ya JPM awamu ya tano, ndio umetoa majibu hivi karibuni.
 
Haikosi wanasababu na ujasiri wa kufanya waliyofanya na wanayotaka kufanya. Siku zote mapatano na ubia wa wachawi huwa haudumu. Mambo yakienda kombo ndio huwa wanakuja kujiliza na kuplay victim kwa wananchi lakin wakati wq kula na kuwanyonya hawawakumbuki.
 
Na mtaweweseka sana mwaka huu ,wakina nadhir karamagi ,wakina mkapa wote ** ,kina sumaye ,edward lowasa,kina mbilinyi hawa watu wame* ** inabidi waende ** ,wapi IPTL ,kina ditopile wanaua halafu tupo nao mtaani - Kalapina 2007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…