KARANGA -- Kuharisha!!.

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Kila ninapokula karanga siku inayofuata huwa naharisha sana mpaka kiuno kinauma, ni kawaida!!.
 
mmh! mimi ubuyu!!, nikila tu lazima nikaripoti, imebidi niache kula kabisa.
 
Weweee ,kama umebadili avator yako?hayo ni mafuta yatakudhuru,
 
bora wewe umepata tiba ya kutoa sumu mwilini kila baada ya miezi mitatu unatakiwa kufyashi uchafu/sumu mwilini magonjwa madogodogo yatakupitia mbali
 
Usipende kula mara kwa mara utamaliza maji mwilini
fanya hivyo mara 1 kwa wiki au mwez uwe unatoa uchafu mwilini
kuna wengine wanapendea tumbo kama hilo coz wao wakienda toi ni kama mbuz
 
utakuwa unaallergy na vitu jamii ya nuts.kwan umeshawah kula korosho na na matokeo yapoje?
 
Mie inanitokezea ikiwa nakula karanga mbichi bila kuziosha. Kama na ww ni hivyo hivyo nakushauri uzioshe kabla hujazila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…