Karanga za Diamond zimesababisha umasikini kwa 30%

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa

tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond karanga umesababisha karanga zao kudoda.

wengi wanatamani leo kesho diamond karanga zipigwe marufuku.

ukitaka kuamini hilo hata ukiwa ndani ya gari akipita mtu na sinia lake la karanga anauza halafu akaja mwengine naye anauza karanga za diamond,,itakazonunuliwa ni hizo za diamond.

hapa serikali iingilie kati maana wengine miaka nenda miaka rudi wanaendesha maisha kwa kuuza karanga.
 
Eti zipigwe marufuku... Daah!! Nchi hii inawatu wanawaza kizembe sana. Tatizo kubwa la nchi hii ni packaging, Diamond kaona hiyo ni business opportunity kaitumia vyema sasa hivi hata mgeni toka nje ya nchi anaweza kununua karanga mtaani bila kuhofia afya yake!

Sent from Moto G
 

Kuna watu mnamawazo hasi sana.... kivipi sasa unataka kuwafanya wa Tz ni hawayani eeee.... Zimedodesha vpi??
 
Inaelekea una hiyo biashara na haujui kujipaisha ukauza.
 
Waache mtindo wa kale, biaShara ni ushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…