warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Nov 2, 2013 #1 Kila jumapili kuanzia saa tatu usiku na kuendelea,unapata nafasi hadimu ya kuimba nyimbo unayoipenda,unaweza kuimba na mpenzi wako kama ukipenda, kiingilio ni bureee ni miguu yako tu,ni pale pale kwenye kijiwe cha yahaya@NYUMBANI LOUNGE..
Kila jumapili kuanzia saa tatu usiku na kuendelea,unapata nafasi hadimu ya kuimba nyimbo unayoipenda,unaweza kuimba na mpenzi wako kama ukipenda, kiingilio ni bureee ni miguu yako tu,ni pale pale kwenye kijiwe cha yahaya@NYUMBANI LOUNGE..
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Nov 2, 2013 #2 aksanteee mi najifunza wanaume kama mabinti
kapale323 Senior Member Joined Apr 29, 2013 Posts 119 Reaction score 59 Nov 2, 2013 #3 Mi ntaimba kipenda roho