Karata Dume - Afande Sele

Karata Dume - Afande Sele

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
images-3.jpg
KARATA DUME - AFANDE SELE

Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa Bongofleva alichinja beberu na kusherehekea Tukio la mwanae Tunda kuchaguliwa kusoma chuo kikuu 'Sokoine University of Agriculture' kilichopo Morogoro ..

Afande alisema ndoto yake kubwa ni kuwasomesha wanae wote hadi elimu ya juu hivyo alifurahi sana Tunda kutomuangusha..

Katika party hilo Afande Sele na mwanae Tunda waliimba Wimbo wa Karata Dume ambao moja ya mistari ulikuwa unasema atamsomesha Tunda hadi vyuo vikuu..

Wimbo huu afande sele alimshirikisha marehemu mez b msanii kutoka makao makuu ya nchi Dodoma maeneo ya Area C..

"Achana na watoto wadogo waliovamia Bongo fleva/
Kushika steering kidogo tu wanajiona ndio madereva/
Najua mimi nilipo ndipo ilipo Muziki huu/
Na kama utapanda ipo siku/
Nita kushusha juu kwa juu/
Na ndio maana nitabaki juu nitakaza tu/
Na kwa kifupi kwa mwendo huu/
Mwanangu tunda atasoma mpaka afuke vyuo vikuu/
Na mungu akileta neema nitaenda mpaka East zoo/

Sifuati nyama mnandani pombe na ma sister du/
Naenda kusema bungeni machungu ya Muziki huu/
Maana kwenye kampeni Alitu Ahidi bwana mkuu/
Watatupa maisha muda ndio huu/
Muda ndio huu/
Baba!!/

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

#funguka..

Je? Ni msanii yupi mwingine wa Hip hop aliyeandika ujumbe kupitia lycris/ mashairi katika wimbo wake na yale aliyoyaandika yalitimia baada ya muda kupita toka wimbo huo.kutoka..

Mama yake Tunda alitangulia mbele za haki takribani miaka kadhaa iliyopita..

UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202
 
View attachment 3134539KARATA DUME - AFANDE SELE

AL badir haifanyi KAZI kwa Wambura bangi, Sheikh Kishki akaambulia aibu
 
Back
Top Bottom