Wewe unaamini kastaafu?๐Amestaafu siasa... akijiunga CHADEMA atakuwa anaendeleza siasa.
Ajiunge CHADEMA kwani umemuona wapi?Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity
Mawazo ya hovyo kabisaNchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Mkuu kwa nini unajizima data kirahisi namna hii!Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity
Ndio wajue wale kina Heche, Lissu, Aman, JJ na wengine ni wanaume โkwerikweriโ wabishi haswa.Hakuna mwanaccm anaweza kupambana nje ya mfumo mbeleko wa dola. Rejea Mpina majuzi akiwa ACT.
GIA angani?CHADEMA hawataki yajirudie ya Lowasa na Sumaye hii ni awamu ya Haki na Uwajibikaji!
Nchimbi ahamie Chadema kuendeleza siasa ya Katiba Mpya na Utanganyika. Atakuwa ameisaidia nchi hatakama hagombei uraisi ila awe tayari kupambana na mititi mititi ya huko na dolaChadema hawana shida ya urais ndio maana hawakushiriki uchaguzi,.
Chadema na watanganyika wengine wanataka KATIBA MPYA na Tanganyika huru..
Huyo Nchimbi anaweza kwenda hata CUF,Chauma..we don't give a Fxxk
Atakuwa kavunja sheria gani kuendeleza siasa za katiba?Amestaafu siasa... akijiunga CHADEMA atakuwa anaendeleza siasa.
Hawajali hilo hawa...Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity
Ubashiri/ramli chonganishi.Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
UmemalizaAmestaafu siasa... akijiunga CHADEMA atakuwa anaendeleza siasa.
Akijiunga CHADEMA maCCM watamuuaNchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Siasa hubadilika kiasi huwezi aminiNchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Wa nini sasa, akae huko hukoNchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
KabisaWewe unaamini kastaafu?๐
Kwa kikwazo kipi astaafu na afya hiyo pamoja na umri huo?
NB:Baada ya Samia kuondoka,Nchimbi atarudishiwa uanachama wake kama Membe tu.
"....karibu sana nyumbani Kaka,kwa sasa bahari ni shwari". Nape akimkaribisha Membe huko Mtama