Ajiunge ccm. Akiomba watampokeaNchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Yeye amesema anastaafu siasa. Wewe unasema karata pekee ni kujiunga CHADEMA!Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Kwanza yupo wapi ?Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Ni ujinga sana kumuombea mtu asiye na hatia anyongwe.Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Kwani hawo CCM unaowaona malaika waliwafanyaje Tundu Lissu, Polepole, Ndugai na Magufuli? Kwa CCM lolote linawezekana.Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity