Pile F
Senior Member
- Aug 15, 2020
- 121
- 170
Ukiwa Dar es Salaam au Mwanza Jiji na baadhi ya Maeneo ya Kabwe na Mwanjelwa Mbeya, pamoja na Jiji la Dodoma utaona Machinga wamepungua sana wamejaribu kutii na kuondoka na bidhaa zao
Pamoja na mafanikio haya, kumeibuka ongezeko la Parking mpaka milangoni pa hayo Maduka ya Wale wanaolipa Kodi na kufanya Biashara halali.
Wakuu haya Magari yanapaki mpaka kwenye zile njia za waenda kwa Miguu (Walk Ways). Ukipita hasa jioni na mchana maeneo kama ya Magomeni, Kinondoni, Sinza, Mwenge, Kariakoo na Posta Dar es Salaam utaipata tabu kubwa kufika mwisho wa barabara
Sasa kulikuwa na haja gani ya kuwaondoa Hawa watu Mbali na kuandaa possible Parking areas somewhere ili kuwe wazi Mitaani?
Kitaalam barabara hata kama ni ya Mjini katikati haitakiwi kuwa Parking badala yake huwa kuna maeneo huwekwa na hujengwa kama Parking at either One's Own Risk or to something as Payment
Wakuu;
Je, ndivyo ilivyo kuwa shughuli za Wamachinga kujiimarisha kwa Chochote hazikufaa Ila yakipark Magari mbele ya Milango ya hayo Maduka na njia za waenda kwa Miguu?