Bei ya karatasi kwa Rimu reja reja ilikuwa 7000~12000/=
Hivi sasa Bei imepanda ghafla bei ya Reja reja ni 18000~25000/=
Je wizara ya elimu haioni kwamba hili litachangia kuongeza ugumu wa elimu kwa watoto wetu endapo gharama za uchapaji na ufundishaji zitaongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya karatasi?