Jana @Bi RoyoTua kasema watapunguza Bei ya mafuta,na je vipi kuhusu mahitaji yetu muhimu ya kila siku maana sio tuu mafuta kupanda bei hata vyakula vimepanda sana beiHuu mfumuko umesababishwa na Royal Tour
HatariJana @Bi RoyoTua kasema watapunguza Bei ya mafuta,na je vipi kuhusu mahitaji yetu muhimu ya kila siku maana sio tuu mafuta kupanda bei hata vyakula vimepanda sana bei
Ngoja ale nchi kwa urefu wa kambaJana @Bi RoyoTua kasema watapunguza Bei ya mafuta,na je vipi kuhusu mahitaji yetu muhimu ya kila siku maana sio tuu mafuta kupanda bei hata vyakula vimepanda sana bei
Labda miti hamnaKile kiwanda chetu cha karatasi vp
Nimenunua mwisho wa mwezi uliopita 15,000....Duh zimeruka sana bora ingekua hata 15000
Hujui ada itapandaUnajua vitu vinaitwa chaki, madaftari na ubao huku watoto wanacopy notes na mwalimu kuandika ubaoni ?
Elimu imekua rahisi kuipata / kukariri siku hizi sio kama zamani mambo yamekuwa rahisi kulenga mtihani..., ingawa sidhani kama uelewa umeongezeka rather than kukariri....
Sorry siungi mkono vitu kupanda bei ila nikimsikia mtu wa elimu analeta visingizio vya kupanda ream eti ndio imeleta ugumu katika uelewa nitamuomba achukue a route to few years back wakati even a duplicator was a thing of imagination
Unadhani ream isingepanda ada ingebakia hivyo ? , Kama gharama za maisha zikipanda alafu karatasi ikabia hivyo hivyo unadhani watu watakula karatasi na kutumia usafiri wa karatasi kufika wanakoelekea...,Hujui ada itapanda