njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Katika kitu ambacho serikali ya awamu ya sita imejaliwa ni KUTOKUWA NA HURUMA NA MZIGO MKUBWA WA GHARAMA ZA MAISHA wanachojali wao ni kupiga matozo kila kona wapate kununua MA VX 2022 MODELS ikifika 2023 wanunue tena 2023 models. Damn!
Vitu vinapanda mnoooo hata visivyo na uhusiano na vita vya ukraine ambavyo ndicho kisingizio kikubwa cha utawala huu kuna kipindi yule kiongozi mkubwa muongo muongo alisema wanafatilia kwa kina kupanda kwa bei na jinsiya kudhibiti hilo limeishia hewani kama kawaida yake ahadi zake na maagizo yake huishia njiani nina hakika hata yeye kasahau sababu huwa anadanganyadanganya tu.
Protex ilikuwa 1500 majuzi tu sasa ni 3500, kakopo cha kahawa cha 3000 sasa ni 6500, jamani, hata hizi karatasi nazo zimepanda mara mbili.