Karate vs boxing

Karate vs boxing

goxum10

Senior Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
179
Reaction score
210
Wakuu samahani nilikuwa naomba kujuzwa ni mchezo Upi kati ya karate na boxing mzuri kujifunza tukianzia kwenye urahisi wa kujifunza , mitindo ya kuicheza ,mazoezi na kwny self defence upi ni mzuri zaidi . Asanteni
 
Wakuu samahani nilikuwa naomba kujuzwa ni mchezo Upi kati ya karate na boxing mzuri kujifunza ......tukianzia kwenye urahisi wa kujifunza , mitindo ya kuicheza ,mazoezi na kwny self defence upi ni mzuri zaidi . Asanteni
Urahisi wa kufunzwa ni boxing ,ndani ya miezi mitatu tu unakuwa fiti.

Kwa self defensing karate ni mzuri zaidi changamoto yake inachukua muda kujua halafu inataka mazoezi mengi na uvumilivu.
 
Kajifunze karate. Iwe shotokan..gojorou au Jeet ku nedo....ndio self defence nzuri hata kwa silaha...boxing jifunze Kama unataka hela...Ila mtaani ukikutana na mapanga na visu itabid ukimbie na boxing yako
 
Wowote utakaojua vizuri ni sawa... ingawa karate ipo vizuri zaidi lakini boxing pia ipo safi. Angalia IP Man I kuna scene ya Yule American Boxer na Sam Wong au IP Man 3 scene kati ya Donie Yen na Tyson hapo ndio utaona boxing na martial arts pamoja in action.
 
Hakuna mchezo bora kupita mwingine kati ya iyo bali kuna mwanamichezo bora mkuu namaanisha ivi ukitak uwe nondo katika karate basi fanya hasa mazoezi na sparring za kutosha ivo ivo katika boxing kuwa tu serious sana na zaidi.
 
Inachukua muda gani na kwa nini umesema inahitaji uvumilivu ??
 
Kajifunze karate. Iwe shotokan..gojorou au Jeet ku nedo....ndio self defence nzuri hata kwa silaha...boxing jifunze Kama unataka hela...Ila mtaani ukikutana na mapanga na visu itabid ukimbie na boxing yako
Wanajifunza kutumia silaha ??
 
Wowote utakaojua vizuri ni sawa... ingawa karate ipo vizuri zaidi lakini boxing pia ipo safi. Angalia IP Man I kuna scene ya Yule American Boxer na Sam Wong au IP Man 3 scene kati ya Donie Yen na Tyson hapo ndio utaona boxing na martial arts pamoja in action.
Nakubali mkuu
 
Hakuna mchezo bora kupita mwingine kati ya iyo bali kuna mwanamichezo bora mkuu namaanisha ivi ukitak uwe nondo katika karate basi fanya hasa mazoezi na sparring za kutosha ivo ivo katika boxing kuwa tu serious sana na zaidi.
Shukrani mkuu
 
Unataka kujifunza kwa madhumuni gani mkuu

Kama ni self defence na kuwa fit jifunze karate zipo jamii nyingi

Maana ndani ya kare kuna boxing pia
Ukijua boxing pekee siku ukikutana na wahuni wenye mapanga na visu lazima usande
Lakini karate ina cover kote
 
Mkuu napenda kujifunza kwa dhumuni la self defence manake ata confidence inapungua kitaa kisa wahuni
Ningependa yenye kucover yote
 
Njoo nikunoe na shotokan mkuu utanishukuru siku ukikutana na Adam mchovu!
 
Back
Top Bottom