T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Wanajukwaa naomba mwenye contacts za karatu sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano lakini hajapa form ya join instruction.Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.