T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,674 Reaction score 29,643 Jul 18, 2015 #1 Wanajukwaa naomba mwenye contacts za karatu sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano lakini hajapa form ya join instruction.Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.
Wanajukwaa naomba mwenye contacts za karatu sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano lakini hajapa form ya join instruction.Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.