abely kamaly
Member
- Mar 27, 2018
- 9
- 3
Huo mkono, wa ku-pump maji ni chuma au bati?Bila kupoteza muda nyakati ndizo hzi kuingia kwenye kilimo tena, karbuni sana kwa mahitaji ya sprayer pump 16L na ndgo 2L, spare complete (chuma, bati na plastic), nozzle na rubber za ina mbalimbali.
Karbuni sana kwa ajili ya kuongeza productivity pamoja na kusukuma gurudumu la kilimo mbele, ili tujikwamue na huu umaskini.
View attachment 3088335
Chuma mkuuHuo mkono, wa ku-pump maji ni chuma au bati?
bei;Bila kupoteza muda nyakati ndizo hzi kuingia kwenye kilimo tena, karbuni sana kwa mahitaji ya sprayer pump 16L na ndgo 2L, spare complete (chuma, bati na plastic), nozzle na rubber za ina mbalimbali.
Karbuni sana kwa ajili ya kuongeza productivity pamoja na kusukuma gurudumu la kilimo mbele, ili tujikwamue na huu umaskini.
View attachment 3088335