Kardinali pengo: Kura ya siri

Utasikia na kiongozi upande wa pili la imani nae katoa msimamo kinzani. Maana kuna double standards kubwa sana.
 
...Bunge maalumu la katiba lina wajumbe ambao wana wajibu wa kufanya maamuzi kwa niaba ya wale wanao wawakilisha. Sasa kwa upigaji kura wa siri, wale wanao wakilishwa watajiridhishaje kuwa maoni yao yamepigiwa kura kama walivyo pendekeza?
Acha kupotosha mambo, kwa bahati mbaya wajumbe wengi wa Bunge la Katiba hawakutumwa na wananchi kuwawakilisha hivyo wana wajibu wa kufanya maamuzi kwa niaba ya aliyewatuma kwa kuwateua. Kwa kura siri tu ndipo wataweza angalau kupata nafasi ya kujikwamua kwa kukata minyororo ya utumwa bila woga wa kunyofolewa macho, kucha na meno.
 

Hivi Tanzania kila kitu bi siasa tuuu?? Katiba nayo unadhani ni siasa siaaa tuu??? ww unadhani wajumbe wote wale 201 ni wanasiasa??
 

Aliposema anaunga mkono serikali mbili, mlimpongeza. Nyang'awa wee!
 
Kumbe lile tamko si la Baraza la Maskofu........

Lile la Askofu Ruzoka ambalo ni la serikali tatu ni la baraza la maaskofu...hilo la serikali mbili ni la kwake...la kura ya maoni ni la kwake yeye binafsi
 

Ulisikia kauli ya Mjumbe mojawapo wa Bunge Maalum, SHEIKH Hamis Jongo juu ya kura ya siri au ya wazi pamoja na posho? Nadhani ungebadili mawazo hapo kwenye red!
 
Nasema iwe ya wazi iwe yasiri serikali 3 haziepukiki lakuvunda halina ubani Tanganyika njoo tena haraka sana iweje Zanzibar ipo halafu Tanganyika hatuiyon mungano wanani nanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…