Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Aidha Kardinal Pengo amesema alikuwa na hofu Rais wa sasa akimaliza muda wake nani atafaa na kufanya kama Rais wa sasa,


Pengo ana pengo somewhere tulitafute
 
Uongozi mtu angekuwa anapewa baada ya kupimwa akili,wengine wasingepata hata ubalozi wa nyumba kumi
 
Hivi Kadinali yupo? Huu ni wakati wa kizazi kipya hawana jipya hao.
 
Tatizo ilikuwa maharage ya Gwj boy au?
 
Pengo anazeeka vibaya. Afadhali alivyotulizwa nyumba ya wazee angoje kijifia tu.

mbona hata wewe unangoja kufa[emoji23][emoji23]

au kwavile unaweza kunyanyua simtank unajiona bado,muda wowote unawezasepa.
 
Hajui anachoongea, embu aulizwe tena sasa hivi anasema nini utaona atakwambia alikuwa akiota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…