View attachment 3685914Seneta mteule Karen Nyamu amerejea tena kwenye gumzo la mitandao baada ya video ya jana katika Bunge la Seneti kumuonyesha akinyonya kidole wakati wa kikao.
Na hii si mara ya kwanza kwa tukio linalomhusisha Nyamu kugeuka mjadala mkubwa mwaka huu. Kuanzia malumbano yake kuhusu mwanafunzi wa Grade 10 Bungeni, vurugu za mkutano wa Kabete, mzozo wa shilingi 29,850 wa hoteli, hadi kuzomewa kwa “Wantam” KICC mwezi uliopita, Seneta huyo amekuwa akijikuta mara kwa mara katikati ya mijadala mikubwa ya mitandao.
Sasa video hii ya sekunde chache imeongeza sura nyingine kwenye orodha hiyo.
Kwa nini kila “moment” ya Karen Nyamu hadharani hugeuka kuwa gumzo kubwa?