KARI improved Kienyeji,

KARI improved Kienyeji,

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Habari wakuu?

Kwa sasa unaweza kuwa wa kwanza kabiasa kupata KARI improved Kienyeji, Hawa ni kuku wenye utagaji wa kiwango cha juu kabisa kuliko hata kuku wa Kisasa wa mayai, Kwa sasa unaweza wapata kwa Oda na oda haitapungua 28 Days, na unatakiwa kulipa na commitment fees ya 25%

Hawa kuku wanaweza hata lalilia na unaweza wafuga kaama kuku wa kienyeji wengine tu. Na Vifaranga wanaopatiakna ni wa wiki Mbili. Tsh 4000/ wakiwa na chanjo 3.
DSC_0410.JPG

1388039191_581521846_1-Pictures-of--kienyeji-cocks-for-sale.jpg
 
Unaposema utagaji wa kiwango cha juu hapo nimekuwa puzzled kidogo!! Unamaanisha wanataga kwa siku zaidi ya mara moja au wanataga muda mrefu bila kuacha?? Au mayai ndiyo yanakuwa na kiwango cha juu kwa ubora??

Ufafanuzi kidogo mkuu
 
Utagaji mkubwa means wanawazidi kuku wa kisasa wa mayai, wanataga mayai mengi sana
 
Chasha hawa kuku nawatafuta sana kwa udi na uvumba, nime ku pm, kwa maelezo zaidi.
 
Mkuu swali langu ni lile lile nililowahi kukuuliza siku za nyuma - kuhusu usafirishaji wa Kuku, na au Vifaranga, kutoka Arusha walipo, kwenda Shinyanga na Mwanza. Kwa uzoefu wako, hili limekaaje kwa sasa?

Pili, kama sikosei, bei ya Sh. 4000/= uliyotoa hapo juu ni kwa Kifaranga mmoja. Bei ya Kuku ni Sh. ngapi?

Asante!
 
Mkuu kwenye gharama hapo hao ni Vifaranga wa wiki Mbili na si wiki Moja. Mkuu kwa Mwanza ni lazima kutumia mabasi kwa sbabau Ndege zilizopo hazina sehemu ya kubeba viumbe hai, unaweza tumia mabasi ya Arusha mwanza, Ila ni vizuri anawepo mtu wa kuwasindikiza mimi huwa siwaamini makondacta kabisa, hawafai wale
 
Hawa kuku wana asili ya wapi, kenya?
Wastani wa uzito kwa umri wa wiki 6 na 26 ni kilo ngapi?

Utagaji mkubwa means wanawazidi kuku wa kisasa wa mayai, wanataga mayai mengi sana

utagaji wao ni asilimia ngapi?
 
Hawa kuku wana asili ya wapi, kenya?
Wastani wa uzito kwa umri wa wiki 6 na 26 ni kilo ngapi?

utagaji wao ni asilimia ngapi?

Hawa Kuku walitokana na breeds mbalimbali za kuku wa Kieneyji ambazo KARI walifanya crosing an kupata huyu kuku, utagaji ni asilimia zaidi ya 85, uzito ni wa wastani majogoo hufika kilo 4.5, ila hawa kuku ni wazuri sana kwenye utagaji na wana weza kulalia mayai.
 
nahitaji hao kuki wa kari, wewe uko wapi?

Habari wakuu?

Kwa sasa unaweza kuwa wa kwanza kabiasa kupata KARI improved Kienyeji, Hawa ni kuku wenye utagaji wa kiwango cha juu kabisa kuliko hata kuku wa Kisasa wa mayai, Kwa sasa unaweza wapata kwa Oda na oda haitapungua 28 Days, na unatakiwa kulipa na commitment fees ya 25%

Hawa kuku wanaweza hata lalilia na unaweza wafuga kaama kuku wa kienyeji wengine tu. Na Vifaranga wanaopatiakna ni wa wiki Mbili. Tsh 4000/ wakiwa na chanjo 3.
DSC_0410.JPG

1388039191_581521846_1-Pictures-of--kienyeji-cocks-for-sale.jpg
 
Mkuu unavyouza hawa vifaranga unaweza tambua idadi ya matetea na majogoo? Kwa mfano nikiagiza vifaranga 200 unaweza jua kati ya hao matetea ni wangapi na majogoo ni wangapi? Bado plan yangu ya kuja Arusha mwisho wa mwezi ipo kuja kuona hydroponic folders I hope ntapata na nafasi ya kuwaona hawa
 
ya mkuu unaweza tambua mitetea na majogoo.
 
He naweza kupata mayai nipo Mwanza ili niyatotolee kwenye incubator name bei ya yai moja inakuwaje?
 
ya mkuu unaweza tambua mitetea na majogoo.

mkuu Chasha unaweza kujibu vizuri hili swali ulizoulizwa na mdau Sabayi hapa Kwa mfano nikiagiza vifaranga 200 unaweza jua kati ya hao matetea ni wangapi na majogoo ni wangapi?

walau kwa kutoa kadirio kwa idadi
 
Last edited by a moderator:
mkuu Chasha unaweza kujibu vizuri hili swali ulizoulizwa na mdau Sabayi hapa Kwa mfano nikiagiza vifaranga 200 unaweza jua kati ya hao matetea ni wangapi na majogoo ni wangapi?

walau kwa kutoa kadirio kwa idadi

Mkuu vifaranga wa siku moja ni vigumu sana kutambua, ila wa kuanzia wiki unaweza tambue vyema mitetea na majogoo na unaweza tambua kupitia mabawa yao na kichwani mwao. kwa DAY ONE OLD ni vigumu sana
 
Back
Top Bottom