CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
As usual....hawapendi mambo ya maendeleo...ingekuwa hadithi za mapenzi ma vijiweni wangejaa humu.....good post,thanks!
Unaposema utagaji wa kiwango cha juu hapo nimekuwa puzzled kidogo!! Unamaanisha wanataga kwa siku zaidi ya mara moja au wanataga muda mrefu bila kuacha?? Au mayai ndiyo yanakuwa na kiwango cha juu kwa ubora??
Ufafanuzi kidogo mkuu
Utagaji mkubwa means wanawazidi kuku wa kisasa wa mayai, wanataga mayai mengi sana
Mkuu Chasha wewe ni noma.
Mimi usinione kimya hiki, kina mshindo mkuu...
Mkuu swali langu ni lile lile nililowahi kukuuliza siku za nyuma - kuhusu usafirishaji wa Kuku, na au Vifaranga, kutoka Arusha walipo, kwenda Shinyanga na Mwanza. Kwa uzoefu wako, hili limekaaje kwa sasa?
Pili, kama sikosei, bei ya Sh. 4000/= uliyotoa hapo juu ni kwa Kifaranga mmoja. Bei ya Kuku ni Sh. ngapi?
Asante!
Utagaji mkubwa means wanawazidi kuku wa kisasa wa mayai, wanataga mayai mengi sana
Hawa kuku wana asili ya wapi, kenya?
Wastani wa uzito kwa umri wa wiki 6 na 26 ni kilo ngapi?
utagaji wao ni asilimia ngapi?
Habari wakuu?
Kwa sasa unaweza kuwa wa kwanza kabiasa kupata KARI improved Kienyeji, Hawa ni kuku wenye utagaji wa kiwango cha juu kabisa kuliko hata kuku wa Kisasa wa mayai, Kwa sasa unaweza wapata kwa Oda na oda haitapungua 28 Days, na unatakiwa kulipa na commitment fees ya 25%
Hawa kuku wanaweza hata lalilia na unaweza wafuga kaama kuku wa kienyeji wengine tu. Na Vifaranga wanaopatiakna ni wa wiki Mbili. Tsh 4000/ wakiwa na chanjo 3.
Mkuu unavyouza hawa vifaranga unaweza tambua idadi ya matetea na majogoo? Kwa mfano nikiagiza vifaranga 200 unaweza jua kati ya hao matetea ni wangapi na majogoo ni wangapi? Bado plan yangu ya kuja Arusha mwisho wa mwezi ipo kuja kuona hydroponic folders I hope ntapata na nafasi ya kuwaona hawa
He naweza kupata mayai nipo Mwanza ili niyatotolee kwenye incubator name bei ya yai moja inakuwaje?