Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wallace Karia pamoja na mazuri unayojaribu kufanya ,yanaharibiwa na kukosa utu kwenye uongozi wako ..yaani umekuwa mungu.. unataka wote tukubaliane na Kila unachotaka? Ni kiongozi Gani duniani asiekosolewa, kukemewa na kunyooshewa kidole?
Kwani Haji alivyokuzingua pale Arusha alikuwa amekunywa? Marais wa nchi wanatukanwa utakuwa wewe Karia? Wewe ni nani hasa ambaye Kila mtu anaejaribu kufikiria tofauti na wewe unamfungia? Au Tff ni Mali Yako au ni nchi inayojitegemea?!
Wewe ni nani hasa? Mbona unaonekana una chuki za ajabu ajabu hujatosheka? Mwachie Haji Manara heshimu utanzania wake, ana haki ya kuingia kwenye viwanja vya soka na kufurahia michezo na kuleta hamasa!! Endelea kujifanya mungu hapo Karume IPO siku tutakutoa kwa maandamano...watch!