Karia aache ukoloni mambo Leo, duniani kote viongozi wananyoshewa vidole utakuwa wewe karia? Mwachieni haji manara..imetosha Sasa!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Wallace Karia pamoja na mazuri unayojaribu kufanya ,yanaharibiwa na kukosa utu kwenye uongozi wako ..yaani umekuwa mungu.. unataka wote tukubaliane na Kila unachotaka? Ni kiongozi Gani duniani asiekosolewa, kukemewa na kunyooshewa kidole?

Kwani Haji alivyokuzingua pale Arusha alikuwa amekunywa? Marais wa nchi wanatukanwa utakuwa wewe Karia? Wewe ni nani hasa ambaye Kila mtu anaejaribu kufikiria tofauti na wewe unamfungia? Au Tff ni Mali Yako au ni nchi inayojitegemea?!

Wewe ni nani hasa? Mbona unaonekana una chuki za ajabu ajabu hujatosheka? Mwachie Haji Manara heshimu utanzania wake, ana haki ya kuingia kwenye viwanja vya soka na kufurahia michezo na kuleta hamasa!! Endelea kujifanya mungu hapo Karume IPO siku tutakutoa kwa maandamano...watch!
 
Haji si alikata rufaa adhabu ikapunguzwa Hadi mwaka mmoja?
Bado miezi mingapi?
Unatoa mapovu kutokea wapi?
Nafasi ya Haji si ishazibwa?au wamfungulie kipi kingine?
 

Sio Karia, ni Kamati ya Maadili ya TFF (ambayo Karia si mjumbe)

 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…