Karia acha ubaguzi na chuki binafsi

Karia acha ubaguzi na chuki binafsi

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Kitendo ulichofanya leo dhidi ya kocha wa Geita Gold sio kizuri hata kidogo kwa afya ya soka letu, umeonesha chuki na ubaguzi.

Umekataa kumshika mkono Minziro kisa nini?

IMG_20210530_220608_571.JPG
View attachment 1803013
 
Back
Top Bottom