Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,229 May 30, 2021 #1 Kitendo ulichofanya leo dhidi ya kocha wa Geita Gold sio kizuri hata kidogo kwa afya ya soka letu, umeonesha chuki na ubaguzi. Umekataa kumshika mkono Minziro kisa nini? View attachment 1803013
Kitendo ulichofanya leo dhidi ya kocha wa Geita Gold sio kizuri hata kidogo kwa afya ya soka letu, umeonesha chuki na ubaguzi. Umekataa kumshika mkono Minziro kisa nini? View attachment 1803013
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 May 30, 2021 #2 Kazi na Iendelee