Karia aibeba Simba tuzo ya beki bora!

Karia aibeba Simba tuzo ya beki bora!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Nasri Khalfan: Mwamnyeto alistahili tuzo:

"Binafsi Bakari Mwamnyeto alistahili tuzo ya beki bora wa msimu, vitu vingi kitakwimu kamzidi Inonga. Wote Mwamnyeto na Inonga wamecheza michezo (27)"

"Mwamnyeto hana kadi nyekundu, Inonga ana kadi nyekundu, na kwa beki wa kati kitendo cha kumaliza msimu bila adhabu yoyote ni jambo kubwa sana"

"Mwamnyeto akiwa nahodha kafungwa magoli (7) tu, Inonga kafungwa (13),, Mwamnyeto hajapoteza mechi yoyote, Inonga kapoteza mechi (3)"

"Kama walitumia vigezo vingine walipaswa kuviweka wazi kisha tulinganishe yupi bora. Timu haijapoteza Mchezo wowote ligi kuu, imeruhusu magoli machache zaidi, ina Cleansheets nyingi zaidi inakuwaje isitoe beki bora ? Kwani kazi ya beki ni nini ?!"

"Sisemi Inonga hakustahili tuzo ya beki bora, lakini nafikiri wanaosema Mwamnyeto alistahili tuzo wanahoja ya msingi"

- Nasri Khalfani
 
sawa tumeshasikia tabu na malalamiko anayopata uyo Nasri.
 
Inonga ni beki bora kwa sababu ya kumkamia Mayele asiteteme. Nje ya hapo, Inonga ni pazia tu.

Na kama huamini, basi angalia marudio ya mechi yao na Namungo kule Lindi uone namna alivyo nyanyaswa na kufedheheshwa na akina Obrey Chirwa.
 
Yaani yanga kuwa bingwa wanajiona kila tuzo wanastahili wao kweli lucy aymel na haji manara hawakukosea sasa nikukumbushe tu enonga alikuwa beki bora wa congo msimu uliopita kama mnataka tuzo yenu anaweza akawarudishia na haitaondoa ubora wa enonga kama mna mabeki bora basi tutawaona mechi za kimataifa malalamishi fc.
 
Kwani Mwamnyeto alifanywaje kwenye mechi na Mbeya City kabla juzi pale Sokoine stadium? Kama Inonga ni pazia basi Mwamnyeto na Djuma Shaaban ni bikini nyeupe tena
 
Stupid fish
 
Mimi sijamtaja Mwamnyeto kama beki bora/aliyestahili sehemu yoyote ile kupata hiyo tuzo.
Kwanza mara kadhaa nimekuwa nikimkosoa humu kwa baadhi ya madhaifu yake kwenye mechi.

Nimemuongelea Inonga kama beki mkamiaji tu kwenye baadhi ya mechi! Na nimetolea na mifano hai.
 
Yaani yanga kuwa bingwa wanajiona kila tuzo wanastahili wao kweli lucy aymel na haji manara hawakukosea sasa nikukumbushe tu enonga alikuwa beki bora wa congo msimu uliopita kama mnataka tuzo yenu anaweza akawarudishia na haitaondoa ubora wa enonga kama mna mabeki bora basi tutawaona mechi za kimataifa malalamishi fc.
Yeye mwenyewe Inonga anajua ni tuzo ya mchongo kwa hisani ya Mr Karai!Tuzo ya beki bora ni yake Bakari Nondo aka "Nesta", le kapiteni Yanga na Taifa Stars full stop!

Samahani kwa typing error , kila nikiandika "Karia" nikituma nakuta imejiandika "Karai" Kolo FC!
 
Inonga ni beki bora kwa sababu ya kumkamia Mayele asiteteme. Nje ya hapo, Inonga ni pazia tu.

Na kama huamini, basi angalia marudio ya mechi yao na Namungo kule Lindi uone namna alivyo nyanyaswa na kufedheheshwa na akina Obrey Chirwa.
Tumesikia kilio chako......

HENOCK INONGA BACCA NI BEKI KATILI,FUNDI ,NA BORA SIO TU TANZANIA ILA AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

haya nuna sasa.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Nasri Khalfan: Mwamnyeto alistahili tuzo:

"Binafsi Bakari Mwamnyeto alistahili tuzo ya beki bora wa msimu, vitu vingi kitakwimu kamzidi Inonga. Wote Mwamnyeto na Inonga wamecheza michezo (27)"

"Mwamnyeto hana kadi nyekundu, Inonga ana kadi nyekundu, na kwa beki wa kati kitendo cha kumaliza msimu bila adhabu yoyote ni jambo kubwa sana"

"Mwamnyeto akiwa nahodha kafungwa magoli (7) tu, Inonga kafungwa (13),, Mwamnyeto hajapoteza mechi yoyote, Inonga kapoteza mechi (3)"

"Kama walitumia vigezo vingine walipaswa kuviweka wazi kisha tulinganishe yupi bora. Timu haijapoteza Mchezo wowote ligi kuu, imeruhusu magoli machache zaidi, ina Cleansheets nyingi zaidi inakuwaje isitoe beki bora ? Kwani kazi ya beki ni nini ?!"

"Sisemi Inonga hakustahili tuzo ya beki bora, lakini nafikiri wanaosema Mwamnyeto alistahili tuzo wanahoja ya msingi"

- Nasri Khalfani
Kwani kipa si ametoka yanga?
 
Yaani yanga kuwa bingwa wanajiona kila tuzo wanastahili wao kweli lucy aymel na haji manara hawakukosea sasa nikukumbushe tu enonga alikuwa beki bora wa congo msimu uliopita kama mnataka tuzo yenu anaweza akawarudishia na haitaondoa ubora wa enonga kama mna mabeki bora basi tutawaona mechi za kimataifa malalamishi fc.
Mazezeta kweli hayo majamaa!
 
Back
Top Bottom