BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Nasomaa mtandaoni inasikitisha sana, wapi mnatupeleka TFF?
Ya Geita atujayamaliza mnataka kutuletea ya Dodoma, nini kinaendelea huko TFF?
Mh Karia kama nilivyosoma kiukweli watu walikuwua wamewatupia ndoano mzame nayo hakika kwa Serikali hii wala tusingejuta kurudia uchaguzi
Swala la Dodoma ligi daraja la kwanza limekuwa liko magazetini hadi vipindi vya redio wana wiki kadhaa wakiliongelea
Pengine mlijua kkiñachoendelea mkajisihau majira na nyakati lakini nimesoma mtandao wa sports binzubery nimesikitika sana
Amkujua kilichowaondoa malinzi zile hela na kama chambo tu ukweli upangaji wa matokeo ligi daraja la kwanza umekuwa ni mradi wa wakubwa kadhaaa
Naamini swala la hili ukiwa kama mtu tuliekuamini aikutakiwa mh waziri atoe hadhrani then mje na mrejesho mmeamua nn huku mkijisemea hamhusiki uongozi wajuu
Mkumbuke TFF sio tu uongozi wa juu hata zile branch zenu nazo n TFF mikoani
Tunaamini hakii itatendekea na swala la kusubiri mh waziri afwate aelezww huku mkiwa na makamishna mikoani na mna masaa yenu kupokea na kutoa majibu hizoo na kuturudisha kwenye laana tulipotoka