Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 514
- 698
TandamtiGhorofa ya kwanza (hakuna lift)
Vyumba 2 (master 1); sebule; jiko; balcony
Kodi 400,000/- x 6
Kupelekwa kuona 20,000/-
Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
Mitandaoni:+255 767 157788
@kasrihomestz
Kweli mkuu?
Wewe unatumia chombo gani kufulia au kubebea maji kwa shughuli zilizo mbali na bomba kama tafasiri ya ndoo ndani ya nyumba ni shida ya maji?Ukishaona ndoo tu basi hapo maji ni shidaaa