• Direction: Kibambawe Street
• Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms
• Document: Sub Title
• Price: TZS 130 million
.
✓ inauzwa bila samani (unfurnished)
✓ Ghorofa ya 4 (hakuna lift)
✓ vyumba master 1 na kawaida 2; jiko lenye makabati; balkoni zenye grill
✓ malumalu; madirisha ya aluminium; feni za juu na maji moto bafuni
✓ mwanga wa kutosha
.
#InRealEstateWeConnect
☎💬 +255767157788
Mitandao ya Kijamii: BongoLocate
Ungeelezea ili usiache maswali maana inaelekea unachouza ni vyumba vilivyomo ghorofani ina maana kuna wamiliki wengine sasa hapo mambo ya haki za umiliki yanakuwaje?