Kariakoo, Dar: Mabadiliko ya vituo vya daladala kufuatia ujenzi wa soko la Kariakoo

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mabadiliko ya vituo vya daladala kufuatia ujenzi wa soko la Kariakoo
IMG_20220208_212810_195.jpg
 
Mitaa ya Kariakoo inanitoaga knockout kishenzi...
Kuna siku nilipotea nimetoka bondeni na mafia niende machinga complex nikala kona nikatokea Livingstone kule kwenye duka la GSM Dah we acha tu
 
We acha kuna siku nilikaa kusuburi daladala za Kawe za kurudi sizioni ikanibidi nikodi bajaji tu
 
Huu utaratibu wa daladala kupaki sehemu yoyote hadi msikitini ni uchafu zaidi ya ule wa Wamachinga.

RC Makala hebu tuondolee hizi daladala za Tegeta, Kawe na Makumbusho hapa msikiti wa Makonde.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani Abiria wa Daladala hiyo wao wanasemaje
 
Daladala wangefanya ziishie pale fire,alafu watu wasogezwe Kariakoo na bajaji na bodaboda kwa wale watakao hitaji usafiri huo!!
Shida ipo kwa watu kutozoea tabia ya kutembea walau 1km, hii ingekuwa bomba sana hata gari zingine kuishia Jagwani kuondoa zile vurugu na rabisha eneo la Kariakoo.
 
Joto la Kariakoo unamuachia nani!!! Unataka wateja wakimbie ofisi zetu kwa mijasho.
 
wa ruvuma huku mtatusaidia siku tukija dar
 
Back
Top Bottom