STATE AFFAIRS
New Member
- May 17, 2021
- 3
- 6
Hotel gani?!Hotel ndiyo imeungua
Ova
Mkuu Kama ni hujuma wahujumu wanataka Moto tu kwa maslahi yao.Kama ni hujuma ni bora wanaofanya wangesema wanataka nini!
Soko limetajwa wapi? hilo eneo hujulikana kama KariakooOk unakurupuka inawezeka hata hiyo clip hujaisikiza, hotel na soko wapi na wapi
.... na chupiNimekumbuka tu moto wa jengo la NASACO mwaka 1995 nilivyotoka nduki na ....
Ukisema Kariakoo ya ungua tena unamaanisha nini? Ndiyo maana mod wamebadilisha heading na umeedit acha ubishiSoko limetajwa wapi? hilo eneo hujulikana kama Kariakoo
Mimi?na umeedit