Kariakoo Derby Jumapili 12th July 2020: Yanga inaenda kujitoa muhanga tu, uwezo hawana

MIMI KAMA MDAU WA SOKA LA HAPA TZ NNA MAONI YAFUATAYO

Yanga wakiwa na pesa ya kutosha kuwekeza nje ya uwanja simba kupata matokeo huwa ni ngumu sana,naona kabisa dalili za mnyama kufa tena.

Ukweli mchungu
Mbona singasinga umekazania sana hili suala? una uhakika gani ndugu? achana na maneno ya vijiweni mpira ni mchezo wa wazi dk 90 ndio kila kitu!
 
Hii match simba kushinda ni %49 na 51% nawapa yanga kwa sababu wachezaji wa simba wanacheza kwa kulidhika hadi wana uzi hasa inapokuaja swala la Derby ila lolote la waze kutokea ivo tu
 
Yanga hawezi kuifunga Simba marambili mfululizo.
Yanga kipigo kitawahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…