Simba inaweza kuvunja rekodi endapo itaweza kuchukua ubingwa wa ligi,mwaka huu itakuwa ni mara 4 mfululizo hamna timu imewai kufanya hivyo.Wazee wa maktaba mmeanza baada ya matumaini ya Ubingwa kuyeyuka taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona mtu anaanza kuweka historia, ujue mambo si mambo katika wakati uliopo
Ligi kuu 21Likiwepo pamoja na Simba Super Cup.
Unajua timu gani inaongoza kuchukua kombe la Africa Mashariki(Kagame Cup)?Paka wamebeba zaidi vikobe vya ndondo Cup kama mtani jembe
Simba Sc amejiwekea rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutoka Africa kumfunga Pitso Mosimane tangu atangazwe kuwa kocha wa Al Ahly.
Kabla mechi dhidi ya Simba Sc alikuwa hajawai kufungwa na timu ya Africa mechi ya kwanza kupoteza ilikuwa dhidi ya Buyern munich.
Kufungwa mechi 2 kati ya 28 alizoingoza timu hiyo kubwa barani Africa.
Yanga ndio timu pekee Africa mashariki na kati kucheza na bingwa ligi kuu ya uingereza mwaka 1971 ilikuwa ni Astonvilla.Simba imekuwa timu ya kwanza kuifunga timu 4 za Masri. ... Al Ahly, Zamalec, Arab Contractors & Mehala el Kubra
Sasa unapingani au unaleta visingizioNi pesa tu, maana hata hapo nyuma Simba nayo ilichoka tena zaidi ya Yanga. Maombi mo asitoke tu.
Simba ilishawahi kuchukua Mara 5 mkuu ko anayevunja rekodi lazima achukue Mara 6Simba inaweza kuvunja rekodi endapo itaweza kuchukua ubingwa wa ligi,mwaka huu itakuwa ni mara 4 mfululizo hamna timu imewai kufanya hivyo.
Yanga imewai kuchukua mara 3 mfululizo na simba mara 3.
Tusubiri maajabu ya kuvunja rekodi kwa simba.
Ligi kuukuchukua nini?
"Payrol Simba ilishawahi kuchukua Mara 5 mkuu ko anayevunja rekodi lazima achukue Mara 6"Ligi kuu
"Payrol Simba ilishawahi kuchukua Mara 5 mkuu ko anayevunja rekodi lazima achukue Mara 6"
Wang Shu Niwakumbushe tu tangu iasisiwe kuwa ligi kuu hamna timu imewai kuchukua zaidi ya 3 mfululizo hizo mara 6 na 5 ni babla haijaitwa Ligi kuu Tanzania bara zamani ikitambulika kama ligi daraja la kwanza.
Bila shaka tupo pamoja mpaka hapo.