Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Sidhani kama atakujaHuyo Jose ndio namtaka mie
Kabla sijakujibu, niambie kwanza timu yako ni ipisikutegemea kuwakuta humu
Shunie
Thad
Jolie Jolie
....na babe wangu mumu[emoji20][emoji20][emoji20]
Hivi nyie mpira mnajulia wapi!?[emoji23][emoji28][emoji23]
Itakua network imekata kwaoAnaanzaje kukimbia akuje huku anipe mahela yangu
Hahaha i love u baby,kama kawaida ulisema nisikupe chezoMuwe na ucku mwema
Nilitania tu bebe,unajua siwez lala bila kupata chezo[emoji173]Hahaha i love u baby,kama kawaida ulisema nisikupe chezo
Tulia mnaenda wap?Mzee mwenzang nisubir
Giza lmeingia
Jipe moyoMpira haujaisha bado
Tumewatanguliza kwa baiskeli ya miti hamfiki mbali
Kutangulia sio kufika
Rudi tu lakini uniache nifurahi kwa raha zanguBby unataka nisirudi nyumban leo??[emoji35]
Tunakunywa maji tu hapaTulia mnaenda wap?
hali yetu ni mbaya sanaaMzee mwenzang nisubir
Giza lmeingia
Hahahaha mbona tunaujua miller jama au.kwa kuwa hutuoni kule kwa wazee wa kuweka mizigo?sikutegemea kuwakuta humu
Shunie
Thad
Jolie Jolie
....na babe wangu mumu[emoji20][emoji20][emoji20]
Hivi nyie mpira mnajulia wapi!?[emoji23][emoji28][emoji23]
Umeona eeh.Mikono juu mwendo wa mateka