Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
[emoji419]YANGA itashinda goli 2 kwa bila.
Leo patam sana hata nitiwe show leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha kwa wife sawa si ni yako tu siku zote,,vip kwa mchepuko ambao umeufukuzia mwaka mzima unakuzungusha maraa paaap saa kumi umekuita kukutunuku?[emoji23]Leo patam sana hata nitiwe show leo
Wife hata anilipe ataniona kwa tv
Hapa Taifa kule ol Trafford [emoji3][emoji3][emoji3]
Leo n rest in peace color y read
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha kwa wife sawa si ni yako tu siku zote,,vip kwa mchepuko ambao umeufukuzia mwaka mzima unakuzungusha maraa paaap saa kumi umekuita kukutunuku?[emoji23]
Kila la heri Simba SC Taifa kubwa
Mkuu naona umeamua ku-edit post yangu!!! Hahaha mimi tangu lini nikashabikia Matopeni/Mchangani/Mkia FC???Ndo ilivyo kwa miaka yote. Inafamika hivyo
Kila la heri Yanga Taifa kubwa
Wewe watokea wapi..?Rekebisha heading yako...yanga hawako kariakoo, wanatokea bondeni kwenye mafuriko!!
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] Mafuriko FCRekebisha heading yako...yanga hawako kariakoo, wanatokea bondeni kwenye mafuriko!!
Daima mbeleYANGA [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Kumbe Leo tupo boti moja !! Hamna kuchekanaDaima mbele