jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Huwa nashangaa sana kukuta thread ile ya ushindi wa Yanga wa 5-1. Nimeona nianzishe hii thread niwe nawakumbusha kuhusiana na rekodi za vipigo vikubwa.
Simba 1 5 Yanga
Simba 5 Yanga 0
Simba 6 Yanga 0
Yanga 5 Simba 0
Hadi sasa Yanga ndo wamepokea kichapo zaidi kwenye mizani ya vipigo vikubwa.
Simba 1 5 Yanga
Simba 5 Yanga 0
Simba 6 Yanga 0
Yanga 5 Simba 0
Hadi sasa Yanga ndo wamepokea kichapo zaidi kwenye mizani ya vipigo vikubwa.