Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
Jamani Dar es salaam Tunatia Aibu, Vinjaa vya siku mbili visituponze kwa miaka kumi. Ili naweka wazi mwenye chuki na anichukie VIZEE VYA KARIAKOO VIMEZIDE UKABWELA WALA MAKAMBA HAKUONGOPA, Kariakoo kuna support kubwa ya CCM. Wajumbe, Madiwani hadi Mbunge wote ni CCM. Maisha mabovu, Miundo mbinu mibovu lakini bado tu.
Tunashindwa kimawazo sana na wenzetu wa mikoani. Nani Aliesikia Kauli ya ZUNGU Mbunge wa ILALA Bungeni kuhusiana na kero za wamachinga na uchafu uliokihiri, kama yupo naomba Anitukane, Ina maana K.Koo hakuna Kero?!. Wamachinga wenzangu TUSIDANGANYIKE, BARABARANI TUUZE LAKINI CCM NO!.
'Dar es salaam Standup put your hands up..':music:😛eace: