Kariakoo kuwa Guangzhou au Dubai

ugaibuni

Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
15
Reaction score
9
Serikali leo imesema ipo kwenye mchakato wa kuigeuza kariakoo kuwa sehemu ya kununulia bidhaa za jumla na rejareja kuwa kama vile Dubai au Guangzhou. Tamko hilo limetolea leo kwenye taarifa habari ya TBC1 kama inavyoonekana kwenye Video hapo chini.


Maoni yangu ni kuwa, hili ni wazo zuri sana, ila mambo mengi yanatakiwa kufikiriwa kabla ya kulifanikisha hilo. Ikiwemo nishati, uchapakazi na miundo mbinu la sivyo itaishia kuwa ndoto ya mchana.

Source: Ughaibuni.com
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…