Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

EveJoe

Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
26
Reaction score
52
Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara.

Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha.

Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua.

Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini?

Ni kama vile tunajaribu kusonga mbele halafu tunarudi nyuma kwa kasi zaidi.
 
Ni sawa na nchi sasa itakuwa imejaa waarabu, imefika wakati wabantu watafutika.
 
kwa kkoo naona wahindi ndo wametawala sana na wachina. wabantu ndo wana biashara ndogo ndogo zaidi
 
Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara.

Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha.

Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua.

Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini?

Ni kama vile tunajaribu kusonga mbele halafu tunarudi nyuma kwa kasi zaidi.
Haitawezekana kwa sababu nyingi tu, kwa mfano:-
Tz kuna kifo cha taaluma ya Mipangomiji.
Tz kuna kifo cha Taaluma ya Uchumi na Biashara.
Tz kuna vifo vingi vya Viwanda vya Uzalishaji wa Bidhaa mbalimbali.
Tz kuna Uhai-endelevu wa
Janga la Kubambikiwa Kodi kubwa zaidi zisizolipika na mamlaka za kutoza kodi, n.k, n.k.
 
Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara.

Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha.

Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua.

Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini?

Ni kama vile tunajaribu kusonga mbele halafu tunarudi nyuma kwa kasi zaidi.
Ndio DP World wanasema hivyo?!
 
Ubungo business center ya mchina stand ya mabus ya zamani itaipiku kariakoo ngoja wachina washushe bidhaa zao direct toka China.
Mkinga wa kariakoo hawezi pambana na mchina kwenye biashara.
 
kwa mwenye akili yupi wa kufanikisha hilo mkuu
watu wenye mawazo hayo hawana nafasi ya kuyatekeleza
 
Ubungo business center ya mchina stand ya mabus ya zamani itaipiku kariakoo ngoja wachina washushe bidhaa zao direct toka China.
Mkinga wa kariakoo hawezi pambana na mchina kwenye biashara.
eh na kweli maana somehow china wameweka balance kati ya bei na quality kwenye bidhaa zao. Watakimbia hela aiseee
 
Wachina wanaangalia purchasing power ya wananchi thus wanakupa hitaji lako kwa thaman ya pesa yako.
Huna uwezo wa kumiliki iphone wanakuletea techno yenye features za iphone
 
Back
Top Bottom