kwa kkoo naona wahindi ndo wametawala sana na wachina. wabantu ndo wana biashara ndogo ndogo zaidiNi sawa na nchi sasa itakuwa imejaa waarabu, imefika wakati wabantu watafutika.
Wazaaji wamemwagwa mhimbili ni jirani tu hapo,kwa kkoo naona wahindi ndo wametawala sana na wachina. wabantu ndo wana biashara ndogo ndogo zaidi
Mashallah Mashallah Inshaallah.Ni sawa na nchi sasa itakuwa imejaa waarabu, imefika wakati wabantu watafutika.
Haitawezekana kwa sababu nyingi tu, kwa mfano:-Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara.
Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha.
Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua.
Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini?
Ni kama vile tunajaribu kusonga mbele halafu tunarudi nyuma kwa kasi zaidi.
Ndio DP World wanasema hivyo?!Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara.
Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha.
Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua.
Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini?
Ni kama vile tunajaribu kusonga mbele halafu tunarudi nyuma kwa kasi zaidi.
Alhabiib!Mashallah Mashallah Inshaallah.
Hii ni valid point. na ina discourage sana sisi vijana hata kujaribu. Uthubutu wote unatutokakwa mwenye akili yupi wa kufanikisha hilo mkuu
watu wenye mawazo hayo hawana nafasi ya kuyatekeleza
eh na kweli maana somehow china wameweka balance kati ya bei na quality kwenye bidhaa zao. Watakimbia hela aiseeeUbungo business center ya mchina stand ya mabus ya zamani itaipiku kariakoo ngoja wachina washushe bidhaa zao direct toka China.
Mkinga wa kariakoo hawezi pambana na mchina kwenye biashara.
Wachina wanaangalia purchasing power ya wananchi thus wanakupa hitaji lako kwa thaman ya pesa yako.eh na kweli maana somehow china wameweka balance kati ya bei na quality kwenye bidhaa zao. Watakimbia hela aiseee