habari wana JF,hawa jamaa walitangazaga nafac za kazi za internal auditor,procurement na wholesale market clerk,vp washaita watu kwa ajiri ya interview?

Hao bwana wbabaishaji. maana hilo sio tangazo la kwanza kwa upande wangu kuliona na mimin kutuma maombi lakini sikuwahi kuitwa kwenye intavyuu hatan siku moja