Nitakuchapaaa 😡Safi sana yaani saana
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo
Acha uwake tu tena uwake uunguze vitu. Yaani kariakoo ni eneo la kijinga sana hakuna mpangilio wa kitu chochote, siyo maduka makubwa wala machinga, yaani siku ikitokea fujo watu watakufa sana. Nashauri serikali iwafukuze chinga wote wanaopanga barabarani waondoke kariakoo iwe safiHabari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.
Kwa habari Zaidi endelea kufuatilia habari zetu na mitandao yetu ya kijamii.
View attachment 2768214View attachment 2768216