Tetesi: Kariakoo mtaa wa Uhuru, mama na mwanae wadondokewa na waya wa umeme

Tetesi: Kariakoo mtaa wa Uhuru, mama na mwanae wadondokewa na waya wa umeme

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kuna mzee ananipa taarifa hapa kwamba kuna mama na mwanawe wamedondokewa na waya mkubwa wa umeme mtaa wa Uhuru Kariakoo, mtoto amepona; kwa aliyeshuhudia tukio tunaomba taarifa zaidi.
 
waende kufungua kesi mahakamani mapema sanaaaaa.... wadai fidia zidi ya shambulizi hilo toka kwa miundombinu chakavu
 
Kuna mzee ananipa taarifa hapa kwamba kuna mama na mwanawe wamedondokewa na waya mkubwa wa umeme mtaa wa Uhuru Kariakoo, mtoto amepona; kwa aliyeshuhudia tukio tunaomba taarifa zaidi.

Uzi ulete wewe, taarifa alete mwingine.. Si ungekusanya taarifa vizuri ili ulete kitu kilichokamilika, au ulikua unawahi kuleta uzi ili mwingine asikuwahi.!?
 
Haraka ya nini kwanini usisubirie ukiwa na taarifa kamili ndio uje hapa
Uzi ulete wewe, taarifa alete mwingine.. Si ungekusanya taarifa vizuri ili ulete kitu kilichokamilika, au ulikua unawahi kuleta uzi ili mwingine asikuwahi.!?

Alikuwa anawahi namba moja, sasa kwa kuwa amekuwa wa kwanza natumaini atatulia na kuleta habari kamili
 
Kifo cha kawaida ni kipi mkuu?
Nakupa challenge ndogo tu, Mtu aliyekufa kwa Kulipukiwa na transfoma ya umeme au mtungi wa gesi au kufa kwa kuanguka kutoka ghorofani hadi chini na mtu aliyekufa kwa kuumwa lets say cancer yupi habari yake itakushtua?
 
Back
Top Bottom