Kariakoo na biashara zake

Kariakoo na biashara zake

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa.
N.k

2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone

3. Biashara ya vifaa vya electronic mfano sabufa, TV, fridge, rice cooker n.k

4. Biashara ya magauni ya wanawake. Mfano magauni ya kinamama, magauni ya kinadada

5. Biashara ya mapambo ya majumbani mfano mapazia, neti, mashuka, foronya, mito Sofa cover,mazuria nk

6 biashara ya vyombo vya majumbani mfano blender,sahani,hot pot,

7 biashara ya mikoba ya wanwake mfano Asante,nk

8 biashara ya nguo za ndani za kinadada mfano chupi,taiti,sidilia n k

9 biashara viatu vya wanawake mfano block heels,viatu vya wachina,

10 biashara ya suruali za kike mfano chambu, skin jeans,truck suit nk

11 biashara ya jeans za kiume

12 biashara ya vipodozi

Nb hizo ni baadhi tu
 
Yaani wala sielewi unamaanisha nini hapa?
 
Nitajie huo mtaa siku nikawape hai
Tahadhari Mkuu pale ukienda usiende kwa lengo lakuangalia walivyo nikosa na utajuta labda uwe ndani yagari yako nausishuke Wala kushusha kioo...hawataki watu wanaopita tu kuwaangalia kuwaona wanataka mtu ukipita hapo uwanunue sio kuwachora .utachapwa viwembe nakuibiwa...maana hao warabu nawahindi wengi wao niwahumo humo maghorofani wengine...Ila mzee baba wademu niwazuri balaa wakiarabu wakihindi daaa
 
Biashara ya ngada..biashara ya ky..biashara yaa..

#MaendeleoHayanaChama
 
Jina la mtaa nipo kariakoo gerezani hapa
Ukiwa sheli ya total hapo kariakoo Kama unaenda mnazi mmoja Sasa ukiwa upo upande wa sheli huo fanya Kama unaenda mnazi mmoja hesambu mtaa wakwanza utaupita utaenda mtaa wapili Sasa kunja kushoto tembea nadhani sjui ndo unaitwa mtaa wa Mafia vile Kuna ghorofa Kama mbili Zina baa ghorofa moja iko upande wa kulia inabaa floor ya pili na upande wakushoto ipo ghorofa ingine Ina bar pia...Sasa ukipata uwaone warabu nawahindi walivojazana nje chini nenda kuanzia SAA sita nihatar utajiokotea mitoto yakiarabu nakihind kibao
 
Back
Top Bottom