mawazo mazuri sana sasa nan atayachukua mawazo kama haya kama platform zenye kutoa mawazo chanya serikal inazifungia
Na badala yake ndugu makonda anaomba 2B Kwa sa100 kwa ajil ya content creators wanaosifia chama chakavu lakn wenye mawazo kama.yenu mnazuiliwa