BREAKING NEWS : MOTO KARIAKOO KATIKA HOTEL YA RUNGWE PALACE .
Jeshi la Zimamoto na Uokozi wamefanikiwa kuudhibiti moto uliozuka katika hoteli ya Rungwe Palace iliyopo mitaa wa Mahiwa / Sikukuu katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Source : BM24 News