Ni kwel hii dunia ni ya ushindani acha tupigane spana na wachina watufundishe biasharaWatu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wakiwa na wadogo wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu.
TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.
Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
😹😹😹Umitashumta kaletwa HUSSEIN BOLT kubabake
Umitashumta kaletwa HUSSEIN BOLT kubabake
Kariakoo wafanyabiashara wakubwa sio wachina ni wazawa ila tu mnadanganyana tu humu. Wachina wamezidi tu kidogo wafanyabiashara wa kati wa kawaida ila hakuna wachina level za Kina Gsm, Metl, Bakhresa na wengineo kwa sasa. Bado biashara kubwa kubwa ni za watanzania. Ushamba wetu tu kuwatukuza.Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja
TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.
Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Wacha washindane na wageni watajifunza maana ya mteja na namna ya kuuzia watu bidhaa. Kama mchina anachoma mahindi vizuri bila ya kuyababua na moto, akayanyunyizia tangawizi na vanilla na kunikaribisha kwa bashasha na heshima kwanini aambiwe aondoke ili auze mswahili anaechoma kwa kuyaungaza huku anachat bila kujali mteja wake? Kwanini mhindi ukifika dukani kwake anakwambia karibu dugu yangu anunue kitu giniani bhana!!Ni kwel bhana mbongo analidhika sana, my ex yf pind mjamzto tukaenda kununua vitenge maandaliz ya kujifungulia.
Kuna duka tuliingia mdada anachat amekaa tena anajibu inshort, hata kumsikia gud hamna.
Nikaludia kumuulza koz ckuckia gud 'umesem sh ngap dada?" akawa kimya.
Hatukuendlea kuchagua na mke wang tukahama duka jirani c pesa ya kwetu bhana afu analeta nyodo kweny tonge
Nakubali kwa kweli maana Wakinga na Wapemba wamezidi ushirikina na hawana ubunifu wowote zaidi ya kufuga majini na kurogana tu.Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja
TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.
Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Umitashumta hiyohiyo mbona wakinga wanatoboa?, kule kwetu Tanga ukitumwa dukani lazima uende na shilingi Moja ya kugongea dirisha la dukani kumuita muuzaji aje akuuzie, maana hakai dukani lazima aitwe na mteja. Unagonga na kuita duuukaniiii, maduka wanafungua saa 3 asubuhi na kufunga saa 2 usiku.Umitashumta kaletwa HUSSEIN BOLT kubabake
TRA kusanyeni kodi yenu mengine tuachieni sisi wateja tuchague nani anihudumie. Ukweli tumechoka kununua bidhaa zenye mavumbi kutoka kwa wauzaji walionuna na wasiomjali mnunuzi. Wazawa hawatoi risiti, Bei kubwa na wanakwepa kodi pia. Tuwaache washindane kama vile akina Ibrahim Bacca, Job, Mzize, Kapombe, Shabalala na suleman mwalimu wanavyoshindana kupata namba katikati ya wachezaji wageni.Wachina washikilie hapo hapo
Hiyo sio kweli, nenda kamchunguze mkinga uone anaamka saa ngapi kufungua biashara na anafunga saa ngapi na anawahudumiaje wateja wake. Chunguza matumizi yake na anakula nini na kiasi gani kwa siku. Mchunguze uone kama ana roho nzuri ya kusaidia ndugu zake na kunywa pombe na starehe nyingine za wanawake, chunguza kama anafiwa uone kama anafiwa na kuhudhuria misiba Kila siku, nenda kaone namna anavyoongea na mteja wake na usafi wa bidhaa yake, hakuna uchawi kaka anajilipua TU na kufuata misingi ya biashara. Wewe Kila siku uko kipalang'anda kuzika mjomba mara kaka yake mdogo mkazamjomba mara rafiki yake wa utotoni mdogo wake bibi Yako.Nakubali kwa kweli maana Wakinga na Wapemba wamezidi ushirikina na hawana ubunifu wowote zaidi ya kufuga majini na kurogana tu.
huo muda wa kumchunguza mkinga we uliupataje?.Hiyo sio kweli, nenda kamchunguze mkinga uone anaamka saa ngapi kufungua biashara na anafunga saa ngapi na anawahudumiaje wateja wake. Chunguza matumizi yake na anakula nini na kiasi gani kwa siku. Mchunguze uone kama ana roho nzuri ya kusaidia ndugu zake na kunywa pombe na starehe nyingine za wanawake, chunguza kama anafiwa uone kama anafiwa na kuhudhuria misiba Kila siku, nenda kaone namna anavyoongea na mteja wake na usafi wa bidhaa yake, hakuna uchawi kaka anajilipua TU na kufuata misingi ya biashara. Wewe Kila siku uko kipalang'anda kuzika mjomba mara kaka yake mdogo mkazamjomba mara rafiki yake wa utotoni mdogo wake bibi Yako.
Biashara ni mapato na matumizi