Mkuu jamaa sio watu wazuri, hizo zote ni strategy. Wakishizaa na mbongo ndio ameshaata uhalali wakuishi na kumiliki mali kwa kupitia mgongo wa familia. hawa jamaa wana target kubwa sana za mbali. acha wabongo washerekee kuuziwa jeans bei chee na mchina huku tukisubiri wachina kufikia malengo yao ambayo sote kwa pamoja tutakuja kulia mbeleni
Tutumie busara, hata watu wetu wako nchi nyingine wanafanyakazi ndogo kabisa ambazo hapa kwetu tunaziita za wazawa. Mfano, nimeenda Durban, SA nikakuta watanzania wengi ni vinyozi kule kwenye fukwe za bahari, shoe shiners, na taxi drivers mitaani. Wafukuzwe? Mchina na wachina wako wengi hata marekani na kazi zao ni hizihizi.Wasifukuzwe, ila tuangalie namna bora ya kuwatambua na kuwasimamia wafanye biashara kwa msingi wa sheria zilizopo. Hii itawasaidia wachuuzi wetu wawe na uwezo kama wa wachina. Kama mchina ana mtaji, na anataka muungane na mzawa kufanya biashara, hiyo ni ruksa. Itaongeza tija katika ufanyaji biashara wa watu wetu.
Ila sasa wachina ni wa kuwaangalia sana. Wanazaa hovyo hovyo na vibinti vyetu. Yaani tumeanza kuona vijukuu vya mchanganyiko na vichina kila kona. Sasa sijui wanataka tuwe ndugu kwa lazima!!!???
serikali inaitegemea China kwa kila kitu, hata marekani inaitegemea China, Ulaya wanaitegemea China, wacha kuwadanganya watu. Serikali imewanyamazisha tu wanaKariakoo ili wasigome tena ila haina uwezo wa kuwanyanyasa watoto wa Xi.Ni rahisi hivyo kupuuza kazi na tafakuri ya wanatume juu ya kadhia dhidi wafanyabiashara walio wengi na maslahi mapana ya taifa. Sio Kila Jambo linamfanano na futiboli.
Bandiko hili lisomwe na hiyo Tume iliyo undwa kufanya uchunguzi jinsi Wachina wanavyo fanya biashara zao Kariakoo. Umenena vizuri sana, na watu wa kuhojiwa zaidi ni wanunuzi sio hao wa fanya biashara wazawa. Walalamishi, wavivu kupambana na wenye akili kubwa, wezi wasiolipa kodi. Watanzania tunataka Wachina wa Kariakoo wabaki ili mradi wanalipa. kodi.TRA kusanyeni kodi yenu mengine tuachieni sisi wateja tuchague nani anihudumie. Ukweli tumechoka kununua bidhaa zenye mavumbi kutoka kwa wauzaji walionuna na wasiomjali mnunuzi. Wazawa hawatoi risiti, Bei kubwa na wanakwepa kodi pia. Tuwaache washindane kama vile akina Ibrahim Bacca, Job, Mzize, Kapombe, Shabalala na suleman mwalimu wanavyoshindana kupata namba katikati ya wachezaji wageni.
Nina uhakika wewe ni fukara wa mali,fedha na akili.Nakubali kwa kweli maana Wakinga na Wapemba wamezidi ushirikina na hawana ubunifu wowote zaidi ya kufuga majini na kurogana tu.
Tutumie busara, hata watu wetu wako nchi nyingine wanafanyakazi ndogo kabisa ambazo hapa kwetu tunaziita za wazawa. Mfano, nimeenda Durban, SA nikakuta watanzania wengi ni vinyozi kule kwenye fukwe za bahari, shoe shiners, na taxi drivers mitaani. Wafukuzwe? Mchina na wachina wako wengi hata marekani na kazi zao ni hizihizi.
Bandiko hili lisomwe na hiyo Tume iliyo undwa kufanya uchunguzi jinsi Wachina wanavyo fanya biashara zao Kariakoo. Umenena vizuri sana, na watu wa kuhojiwa zaidi ni wanunuzi sio hao wa fanya biashara wazawa. Walalamishi, wavivu kupambana na wenye akili kubwa, wezi wasiolipa kodi. Watanzania tunataka Wachina wa Kariakoo wabaki ili mradi wanalipa. kodi.
Kwani machinga wanalipa kodi wapi? Mwisho wa umachinga ni miaka mingapi? Matarajio yangekuwa machinga awe ni vijana waliomaliza shule , lakini pale kariakoo Kuna wazee pia ni machinga. Machinga complex wako watu wazima kabisa na wako pale milele.nyinyi ndio wale munaokuja kulalamika nyongeza za mishahara, achu chuki kwa wafanybiashara ndugu
18 March 2025acha kupenda mteremko mkuu, Kariakoo vitu ni bei rahisi sana kwa maana ya sana. kama unataka rahisi zaidi ya hapo si bora upewe bure tu.
MjingaWatu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja
TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.
Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Serikali iwape vijana wake elimu bora , mitaji ujuzi wa biashara waweze kupambana.View attachment 3277661
Hii mada nmetoka kazini nikaikuta tbs.
sasa nimecheka mnoo
Tatzo nimeona ni uoga wa competition kwa watu wetu hasa wafanya biashara.
Pia serikali kuna mahali imewaweka wawekezaji mbele other thing bila kupepesa macho ni kodi.
Watanzania tuache kulia sanaa tumeridhika sanaa customer care mbovu kwenye maduka ya kibongo atutaki competition niwaambieni tukiendelea hivi mmmh sijui.
Serikali pia iweke kipaumbele kwa wabongo
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Ni kwel pia ni muhimu kufuatilia elimu ya biashara ata mitandaoni zinafundishwa biashara bila tactics ni sawa na bure hao wenzetu wametusoma weakness zetu ndio wanatupigia hapo.Serikali iwape vijana wake elimu bora , mitaji ujuzi wa biashara waweze kupambana.
Wewe sio Mfanyabiashara na hujui Biashara.....Ni bora ukae kimyaWatu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja
TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.
Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.