Kariakoo ya saa 24 na Uswahilini Manzese ya saa 16 mambo yatakuwa ni yale yale, labda zifungwe Camera Shekilango hadi Kariakoo!

Kariakoo ya saa 24 na Uswahilini Manzese ya saa 16 mambo yatakuwa ni yale yale, labda zifungwe Camera Shekilango hadi Kariakoo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Ushauri tu Camera zifungwe kuanzia Shekilango Stendi ya mkoa hadi Jiji Jipya la Biashara Kariakoo

Halafu Camera nyingine zianzie hapo Shekilango Stendi ya mkoa hadi pale Ubungo China Town

Maana akina Lucas Mwashambwa Mabasi yao Kutoka Vwawa Mbozi yanaingua jijini Saa 5 Usiku hivyo ni vema akamulikwa na camera hadi anapoingia Lumumba kwenye Hostel ya Bure ya Chawa wa mikoani 😂

Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom